Ufafanuzi wa ujenzi katika Kiswahili

ujenzi

nomino

  • 1

    kazi au shughuli ya kujenga.

    ujengaji

Matamshi

ujenzi

/uʄɛnzi/