Ufafanuzi wa ujeuri katika Kiswahili

ujeuri

nominoPlural ujeuri

  • 1

    hali ya kuwa na tabia ya ufidhuli.

    kiburi, usodai, utadi, ufidhuli, tadi, ujuvi, ukaidi, ukorofi

Asili

Kar

Matamshi

ujeuri

/uʄɛuri/