Ufafanuzi wa uji katika Kiswahili

uji

nomino

  • 1

    chakula chepesi kinachopikwa kwa kuchemsha nafaka au unga wa nafaka na maji.

    kanji