Ufafanuzi wa ujio katika Kiswahili

ujio

nominoPlural ujio

  • 1

    tendo la kuja kwa mtu maarufu au tukio maalumu.

    ‘Kulikuwa na sherehe kubwa wakati wa ujio wa Barack Obama, Kenya’
    mjio

Matamshi

ujio

/uʄijɔ/