Ufafanuzi wa ujovu katika Kiswahili

ujovu

nomino

  • 1

    uwazi wa uchango mnene unaoishia sehemu ya kutoka haja kubwa.

Matamshi

ujovu

/uʄɔvu/