Ufafanuzi wa ujukuti katika Kiswahili
ujukuti, uchukuti
nominoPlural njukuti
- 1
kijiti kinachokaa kwenye maungio ya pande mbili za jani la mnazi; ujiti wa kuti.
chelewa, unane - 2
chuma chembamba katika gurudumu la baiskeli; tindi ya gurudumu la baiskeli.
spoku, tindi