Ufafanuzi msingi wa ujumbe katika Kiswahili

: ujumbe1ujumbe2

ujumbe1

nominoPlural ujumbe

Matamshi

ujumbe

/uʄumbɛ/

Ufafanuzi msingi wa ujumbe katika Kiswahili

: ujumbe1ujumbe2

ujumbe2

nominoPlural ujumbe

  • 1

    mtu au kundi la watu linalopeleka habari kwa mtu fulani au kuwakilisha wengine katika mkutano.

    ‘Ujumbe wa Kenya unaongozwa na Waziri wa Elimu’

Matamshi

ujumbe

/uʄumbɛ/