Ufafanuzi wa ujumi katika Kiswahili

ujumi, ujumisia

nomino

  • 1

    kanuni za uzuri au ubaya wa kazi za sanaa.

Matamshi

ujumi

/uʄumi/