Ufafanuzi wa ujuvi katika Kiswahili

ujuvi

nomino

  • 1

    hali ya kujifanya kujua kila kitu.

    ujuaji

  • 2

    ujeuri, ujuba, ufidhuli

Matamshi

ujuvi

/uʄuvi/