Ufafanuzi wa ukaaji katika Kiswahili

ukaaji

nominoPlural ukaaji

  • 1

    namna au jinsi ya kukaa.

  • 2

    hali ya kuwa pahali fulani.

Matamshi

ukaaji

/uka:ʄi/