Ufafanuzi wa ukabaila katika Kiswahili

ukabaila

nominoPlural ukabaila

  • 1

    mfumo wa uchumi wa kumiliki majumba na ardhi na kupangisha watu wengine kwa malipo.

Asili

Kar

Matamshi

ukabaila

/ukabaila/