Ufafanuzi wa ukahaba katika Kiswahili

ukahaba

nominoPlural ukahaba

  • 1

    mwenendo wa mwanamume au mwanamke wa kushiriki uasherati kama biashara yake.

    umalaya, utaleleshi, uzinifu, uzinzi

Asili

Kar

Matamshi

ukahaba

/ukahaba/