Ufafanuzi msingi wa ukaimu katika Kiswahili

: ukaimu1ukaimu2

ukaimu1

nominoPlural ukaimu

  • 1

    ushikiliaji wa muda wa cheo wakati mwenye cheo hayupo au hajateuliwa.

Asili

Kar

Matamshi

ukaimu

/ukaImu/

Ufafanuzi msingi wa ukaimu katika Kiswahili

: ukaimu1ukaimu2

ukaimu2

nominoPlural ukaimu

  • 1

    uganga wa kupunga pepo.

Matamshi

ukaimu

/ukaImu/