Ufafanuzi wa ukakamavu katika Kiswahili

ukakamavu

nomino

  • 1

    hali ya kustahamili mambo; hali ya kutokubali kushindwa kwa urahisi.

Matamshi

ukakamavu

/ukakamavu/