Ufafanuzi wa ukalafati katika Kiswahili

ukalafati

nominoPlural ukalafati

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    uzibaji wa matundu au nyufa katika vyombo vya baharini kwa pamba iliyotiwa ndani ya mafuta maalumu.

Matamshi

ukalafati

/ukalafati/