Ufafanuzi wa ukali katika Kiswahili

ukali

nomino

  • 1

    hali ya kuongea agh. kwa ghadhabu.

  • 2

    hali iliyopita kiwango cha kawaida.

    ‘Ukali wa mbwa uliwazuia wageni kuingia nyumbani’

Matamshi

ukali

/ukali/