Ufafanuzi wa ukalimani katika Kiswahili

ukalimani

nomino

  • 1

    kazi ya kufasiri papo kwa papo mazungumzo kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine.

Matamshi

ukalimani

/ukalimani/