Ufafanuzi wa ukano katika Kiswahili

ukano

nominoPlural kano

  • 1

    uzi wa minofu ya mwili.

Matamshi

ukano

/ukanɔ/