Ufafanuzi wa ukapera katika Kiswahili

ukapera

nominoPlural ukapera

  • 1

    hali ya mwanamume ambaye hajaoa au anayekaa bila mke.

    useja

Matamshi

ukapera

/ukapɛra/