Ufafanuzi wa ukarimu katika Kiswahili

ukarimu

nominoPlural ukarimu

  • 1

    utoaji vitu au mali kwa kukaribisha watu au kuwasaidia wanaohitaji msaada bila ya malipo.

    fadhila, hisani

Asili

Kar

Matamshi

ukarimu

/ukarimu/