Ufafanuzi msingi wa ukataji katika Kiswahili

: ukataji1ukataji2

ukataji1

nominoPlural ukataji

  • 1

    jinsi au namna ya kukata kitu kwa kifaa chenye makali.

Matamshi

ukataji

/ukataʄi/

Ufafanuzi msingi wa ukataji katika Kiswahili

: ukataji1ukataji2

ukataji2

nominoPlural ukataji

  • 1

    tendo la kununua vitambaa vya nguo na kuvishona.

Matamshi

ukataji

/ukataʄi/