Ufafanuzi wa ukatili katika Kiswahili

ukatili

nominoPlural ukatili

  • 1

    hali ya kutokuwa na huruma.

    ujahili, uonevu, udhalimu, unyama, ubedui

Asili

Kar

Matamshi

ukatili

/ukatili/