Ufafanuzi wa UKIMWI katika Kiswahili

UKIMWI

nominoPlural UKIMWI

  • 1

    kifupisho cha upungufu wa kinga mwilini, unaompata mtu aliyeambukizwa Virusi Vya Ukimwi (VVU) ambao husababisha mtu kushikwa na maradhi mbalimbali.

Matamshi

UKIMWI

/ukimwi/