Ufafanuzi wa ukiri katika Kiswahili

ukiri

nomino

  • 1

    hali ya kukubali jambo linalosemekana kwamba umelifanya au umelisema.

Matamshi

ukiri

/ukiri/