Ufafanuzi wa ukiritimba katika Kiswahili

ukiritimba

nominoPlural ukiritimba

  • 1

    tabia ya mtu, kampuni, shirika au serikali kujilimbikizia bidhaa, mali au madaraka bila ya kujali wengine.

    uhodhi

Matamshi

ukiritimba

/ukiritimba/