Ufafanuzi wa ukoga katika Kiswahili

ukoga

nominoPlural ukoga

  • 1

    uchafu wa meno.

    ugaga, ugavu

  • 2

    uchafu unaoganda juu ya maji.

Matamshi

ukoga

/ukɔga/