Ufafanuzi wa ukogo katika Kiswahili

ukogo

nomino

  • 1

    ushanga unaovaliwa kiunoni.

    utunda

Matamshi

ukogo

/ukɔgɔ/