Ufafanuzi wa ukoja katika Kiswahili

ukoja

nominoPlural koja

  • 1

    ushanga wa kuvaa shingoni.

Matamshi

ukoja

/ukɔʄa/