Ufafanuzi wa ukoloni katika Kiswahili

ukoloni

nominoPlural ukoloni

  • 1

    mtindo wa nchi moja kuitawala nchi nyingine.

    istiimari

Matamshi

ukoloni

/ukɔlɔni/