Ufafanuzi wa ukoma katika Kiswahili

ukoma

nominoPlural ukoma

  • 1

    ugonjwa wa kuambukiza wa mabatomabato ambao unaharibu mishipa ya fahamu na kukata viungo vya mwili.

    jedhamu, matana

Matamshi

ukoma

/ukɔma/