Ufafanuzi wa ukombati katika Kiswahili

ukombati

nominoPlural kombati

  • 1

    ufito mdogo utumikao kujengea nyumba ambao hufungwa kiambazani kabla ya kukandika.

  • 2

    mti mwembamba mrefu.

    uwati

Matamshi

ukombati

/ukɔmbati/