Ufafanuzi wa ukongonyanzi katika Kiswahili

ukongonyanzi

nominoPlural makongonyanzi

  • 1

    ugwe mgumu ulioko kati ya chane mbili za jani la muwaa.

Matamshi

ukongonyanzi

/ukɔngɔɲanzi/