Ufafanuzi wa ukonyoaji katika Kiswahili

ukonyoaji

nomino

  • 1

    namna ya kukonyoa.

    utaba

Matamshi

ukonyoaji

/ukɔɲɔwaʄi/