Ufafanuzi wa ukopeshaji katika Kiswahili

ukopeshaji

nominoPlural ukopeshaji

  • 1

    hali ya kumpa mtu fedha au mali kwa makubaliano ya kurudisha baada ya muda fulani.

Matamshi

ukopeshaji

/ukɔpɛ∫aʄi/