Ufafanuzi wa ukora katika Kiswahili

ukora

nomino

  • 1

    tabia ya kuwa mkora.

    uhuni

Matamshi

ukora

/ukɔra/