Ufafanuzi wa ukorofi katika Kiswahili

ukorofi

nomino

  • 1

    tabia ya kuwa na matata.

    kisirani, jefule, ujeuri

Matamshi

ukorofi

/ukɔrɔfi/