Ufafanuzi wa ukosaji katika Kiswahili

ukosaji

nominoPlural ukosaji

  • 1

    hali ya kufanya jambo lisilo sahihi au lisilokubalika.

Matamshi

ukosaji

/ukɔsaʄi/