Ufafanuzi wa ukosefu katika Kiswahili

ukosefu

nomino

  • 1

    hali ya kukosa kitu fulani.

Matamshi

ukosefu

/ukɔsɛfu/