Ufafanuzi wa ukosi katika Kiswahili

ukosi

nomino

  • 1

    mkunjo ulio kwenye shingo ya nguo k.v. shati au blauzi.

    kola

Matamshi

ukosi

/ukɔsi/