Ufafanuzi wa ukozi katika Kiswahili

ukozi

nominoPlural kozi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba isiyoondoka iliyowekwa kwenye makiri k.v. ya mtepe katika chombo cha majini.

Matamshi

ukozi

/ukɔzi/