Ufafanuzi wa Ukristo katika Kiswahili

Ukristo

nominoPlural Ukristo

  • 1

    dini inayoamini kuwa Mungu ni mmoja, inayofuata mafundisho ya Yesu Kristo.

Asili

Kng

Matamshi

Ukristo

/ukristɔ/