Ufafanuzi wa ukubalifu katika Kiswahili

ukubalifu

nomino

  • 1

    hali au namna ya kukubali.

    itiko, ridhaa, ikibali, ikirari

Matamshi

ukubalifu

/ukubalifu/