Ufafanuzi wa ukucha katika Kiswahili

ukucha

nominoPlural kucha

  • 1

    kipande kigumu mfano wa pembe kinachoota kwenye kidole cha mtu, mnyama au ndege.

Matamshi

ukucha

/ukutʃa/