Ufafanuzi wa ukukwi katika Kiswahili

ukukwi

nomino

  • 1

    nyoka wa kijani asiye na sumu ambaye kwa kawaida hukaa kwenye miti.

    nyokaukuti

Matamshi

ukukwi

/ukukwi/