Ufafanuzi wa ukulima katika Kiswahili

ukulima

nominoPlural ukulima

  • 1

    kazi ya kulima shamba.

    ‘Ukulima wa kisasa’

Matamshi

ukulima

/ukulima/