Ufafanuzi wa ukumvi katika Kiswahili

ukumvi

nominoPlural kumvi

  • 1

    ganda la juu la mpunga, mahindi au ngano linalofunika shuke.

Matamshi

ukumvi

/ukumvi/