Ufafanuzi msingi wa ukungu katika Kiswahili

: ukungu1ukungu2ukungu3ukungu4

ukungu1

nomino

 • 1

  mawingu meupe yanayotanda angani na kusababisha giza.

  vundevunde

Matamshi

ukungu

/ukungu/

Ufafanuzi msingi wa ukungu katika Kiswahili

: ukungu1ukungu2ukungu3ukungu4

ukungu2

nomino

Matamshi

ukungu

/ukungu/

Ufafanuzi msingi wa ukungu katika Kiswahili

: ukungu1ukungu2ukungu3ukungu4

ukungu3

nomino

 • 1

  vijani vyembamba au viyoga vinavyoota mahali au kwenye kitu chenye unyevu.

  kuvu

Matamshi

ukungu

/ukungu/

Ufafanuzi msingi wa ukungu katika Kiswahili

: ukungu1ukungu2ukungu3ukungu4

ukungu4

nomino

 • 1

  hali ya kupatwa na wazo.

Matamshi

ukungu

/ukungu/