Ufafanuzi wa ukuni katika Kiswahili

ukuni

nomino

  • 1

    kipande cha mti kinachotumiwa kukokea moto.

Matamshi

ukuni

/ukuni/