Ufafanuzi wa ukwasu katika Kiswahili

ukwasu

nominoPlural kwasu

  • 1

    vipele vidogovidogo, agh. vinavyowasha, ambavyo vimeenea mwili mzima au sehemu fulani.

    ukurutu

Matamshi

ukwasu

/ukwasu/