Ufafanuzi wa ukwato katika Kiswahili

ukwato

nominoPlural kwato

  • 1

    wayo wa mnyama k.v. ng’ombe, ngamia, kondoo au mbuzi.

Matamshi

ukwato

/ukwatɔ/